Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, July 19, 2013

WAFANYAKAZI WA SERIKALI WAGOMA UGIRIKI.

Wafanyakazi nchini Ugiriki wanaandamana kupinga mipango ya serikali kuwafukuza kazi maelfu ya wafanyakazi wa serikali.
Waandamanaji katika mji wa  bandari wa Thessaloniki, Greece, Julai 16, 2013.
                      Waandamanaji katika mji wa bandari wa Thessalonike, Ugiriki
Mgomo wa Jumanne ulidumaza huduma za umma na kuathiri zaidi huduma   za  hospitali, sekta za reli na  pia safari za  ndege.
Watalii waliotumaini kuona majengo ya zamani ya Acropolis  Hill huko Athens walizuiwa.  Baadhi ya watalii  hao walijumuika na Wagiriki kwenye mgomo huo, huku wengine wakiwa hawajui cha kufanya.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment