Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, July 19, 2013

PAPA AOMBOLEZA KATIKA SIKU YA VIJANA DUNIANI HUKO UFARANSA.

Ni baada ya msichana mwenye umri wa miaka 21 kufariki baada ya kupata ajali ya barabarani katika maeneo ya huko Ufaransa.
          Cardinal Bertone sent a message of condolence on behalf of Pope Benedict (CNS)
                     kushoto niKadinari Berton ambaye alipeleka rambirambi badala ya Papa Francis.
Papa ameungana na mahujaji wa huko Ufaransakatika kuomboleza kifo cha binti mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Sophie Moriniere mwenye umriwa miaka 21 ambaye pia alikuwa ni mmoja kati ya wanachama wa world youth day iliyojulikana kama (WYD) ambaye aliweza kukutwa na kifo hicho mara tu baada ya kupata ajali barabarani.
Pia katika ujumbe ambao ulisainiwa,na kutumwa katika tovuti ya archdiocesan  Kadinari Berton alisema kwamba Papa Francis ameweza kuungana na familia ya waanga hao na kuweza kuomboleza pamoja katika tukio hilo ,ambapo pia alisema Papa alionekana akiwa na majonzi na masikitiko juu ya msiba huo.

Imewekwa na Happy adam

kwahabari zaidi tembelea;http://www.catholicherald.co.uk/news/2013/07/19/pope-joins-the-mouring-for-world-youth-day-pilgrim/
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment