Writen by
sadataley
8:28 AM
-
0
Comments
LEO NI KATIKA USHARIKA WA MTWIVILA NA HAPA PIA VIJANA WAMEPEWA NAFASI ZAIDI
NYUMBA YA USHARIKA IKIWA INAENDELEA KUMALIZIWA
SEHEMU YA KANISA HILI PICHANI
NYUMBA YA USHARIKA IKIWA INAENDELEA KUMALIZIWA
SEHEMU YA KANISA HILI PICHANI
SEHEMU YA MADHABAHU YA USHARIKA HUU
MCHUNGAJI WINSTONE MDEGELLA - MCHUNGAJI KIONGOZI
MCHUNGAJI KIONGOZI AKITAMBULISHA VIJANA NA WAGENI WALIOSHIRIKI IBADA
AGNESS SILINU AKISOMA MATANGAZO
HAWA NI VIJANA SASA KATIKA SARE MAALUM
VIJANA WA KWAYA WAKICHEZA KWA UMAHIRI
HAYA NI KATIKA IGIZO HUYU NI MCHUNGAJI SASA
MCHUNGAJI AKIMPOKEA MSHARIKA ALIYERUDI KUNDINI
OOO UKIMWI UNATUMALIZA SANA
HAPA WAKIIMBA WIMBO AMBAO ULIWALIZA WASHARIKA WENGI
"BABA TUNAOMBA UTUSAIDIE GONJWA HILI LINATUMALIZA"
HAPA AKITOA MKAZO WA NENO " TUWAPENDE WENZETU JAMANI"
WASHARIKA WAKIWA WAMETULIA NA KUSIKILIZA MAHUBIRI
HAYA TUHAMASIKE TUWACHANGIE VIJANA WETU NI MANENO YA MWL. LUCAS MWAHOMBELA
NI WAKATI WA KUPELEKA SADAKA MADHABAHUNI
MAOMBI YA SADAKA SASA
TUNAWASHUKURU SANA WAKRISTO KWA MICHANGO YENU YA KUWASAIDIA VIJANA WETU MUNGU AWABARIKI SANA
ENENDENI KWA AMANI YA BWANAKARIBUNI KWA MNADA WA KUCHANGIA KEKI"NI KEKI MAALUM YA VIJANA WETU"
WIMBO WA KUTOKA NA KUFUNGA
"HAYA TWENDENI KWA AMANI YA BWANA" ALIYEINAMA KIDOGO NI SHEMAS MHELELA AKIWA NA VIONGOZI WA JIMBO NA USHARIKA
BAADHI YA WAZEE WA WAANDAMIZI WA USHARIKA HUU WA KWANZA KABISA NI MWALIMU KAJIBA HAPA NA WA TATU NI MWL. LUCAS MWAHOMBELA
KWAYA YA USHARIKA IKIWA KATIKA KAZI
HAWA NI BAADHI YA VIJANA WAKISUBIRI KUINGIA IBADA YA PILI SASA
No comments
Post a Comment