Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, July 15, 2013

PUTIN: SNOWDEN JINSI ALIVOAMA KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE NA PIA JUU YA MKUTANO ULIOFANYWA KUHUSIANA NA KUHAMA KWAKE.

Kijana Snowden alipokuwa katika majadiliano nchini Urusi baada ya kupata hifadhi
                                          
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema  kuwa inaonekana  Edward Snowden "amehama kutoka makazi yake fulani hasa pale aalipoweza kupata hifadhi yake huko Urusi,
Putin pia aliweza kutoa maoni juu ya  Snowden,wakati akifanya mazungumzo na mmoja wa wanafunzi na Chama cha kijiografia cha Urusi, ilikuja baada ya Snowden kutamka juu ya haki za binadamu na kisheria kwamba anataka hifadhi ya muda mfupi wakati akisubiri mazungumzo yatakayofanywa na Amerika ya Kusini.
Putin alisema mapema mwezi huu kwamba Snowden alitakiwa kuacha kazi yake kwamalengo kwamba ameyadharau mashirika ya Kimarekani,kama angeendelea kuishi katika nchi hiyo.pia katika siku zilizopita Snowden alilipotiwa kwa kusema kwamba hakuwa na malengo mabaya au madhara mabaya na nchi hiyo katika siku zijazo.
"Snowden anajua kuhusu njia ambazo zitaweza kumfanya apate hifadhi za kisiasa" Putin alisema.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment