Writen by
sadataley
2:43 PM
-
0
Comments
MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA RAIS OBAMA YA KAMILIKA



Taswira ya Lango la kuingilia Ikulu

Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya Watanzania waliofurika tayari kumpokea na kumuona Rais wa Taifa lenye Nguvu dunian Rais Barack Obama

Rais Dr. Jakaya Kikwete akiangalia kibao kinachoonesha barabara ya Barack Obama


Tazama Watanzania walivyofurahi kumpokea Rais barack Obama
Picha kwa hisani ya Blog ya Issa Michuzi
No comments
Post a Comment