Writen by
sadataley
4:21 PM
-
0
Comments
Ndege tayari imetua na muda si mrefu Rais Barack Obama atakanyaga arhi ya Tanzania
Akiwa mwenye furaha akiongozana na familia yake hao wanashuka hivi sasa
Hapa tayari akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete
Hapa akikagua gwaride rasmi
Hao wakifurahia ngoma za asili
Tayari kuelekea Ikulu
Picha kwa hisani ya TBC
No comments
Post a Comment