Writen by
sadataley
2:41 PM
-
0
Comments
KWELI KANISA LITAENDELEA KUWEPO DAIMA
"YESU ANAUTAJIRI MKUBWA SANA"
Leo hii ni kilele cha Sikukuu ya Vijana kwa Usharika wa Kihesa Dayosisi ya Iringa (KKKT) hapa utaona ni sura za vijana, leo vijana walipewa nafasi kuonesha kama kweli wanaweza kutumika katika shamba la Bwana wetu Yesu Kristo. Kutoka kushoto ni James Gasso, Ohard Mpesa, Happy Mdegella,Odiana Ngasakwa na mwisho ni Eliud Nduye na nyuma yao ni Mchungaji kijana kabisa Mchungaji Kurwa Sadataley
No comments
Post a Comment