Writen by
sadataley
2:25 PM
-
0
Comments
KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA
DAYOSISI YA IRINGA
SIKUKUU YA VIJANA USHARIKA WA KIHESA
JIMBO LA KASKAZINI
NENO KUU : VIJANA NI KIU YA MABADILIKO KATIKA JAMII
"SOTE TUKUBALI KUTUMWA KATIKA JAMII KWA HUDUMA MBALIMBALI TUNAZOITWA NA TULIZOITWA"-ISAYA 6:1-7
Katikati ni Mkuu wa Jimbo la Kaskazini Mchg. Donald Kiwanga, kushoto ni Mchg. Yusto Kinyoa na Mchg. Kisabugo
Wazee wa kanisa wakiwa kazini
Mkuu wa Jimbo akizungumza na vijana baada ya ibada ya Pili leo hii hapa katika Usharika wa Kihesa
Mchg. Yusto Kinyoa na Mchg. Kisabugo mara baada ya Ibada ya pili
Wazee wa Kanisa Vijana wakiwa na Wachungaji
Wazee wa Kanisa wakiwa na Mchungaji Kijana Mchg. Kurwa Sadataley
No comments
Post a Comment