Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, March 12, 2018

Mali za kanisa Yerusalemu zataifishwa


Serikali ya Israel yataifisha mal ina milki za kani  Yerusalmeu Mashairiki katika eneo linalokaliwa kimabavu.

Israel inajaribu  kutaifisha mali za kanisa Yerusalemu kwa kulazimisha  malipo makubwa ya ushuru.

Katibu mkuu wa tume ya kiislamu na ukristo ya kuunga mkono Yerusalemu na miji mitakatifu Hanna  Isa amefahamisha kuwa kiwango cha dola  milioni 191 za ushuru zinatakiwa na serikali.

Serikali ya Israel inaomba kiwango hicho cha kodi licha ya kutambua kuwa  kiwango hicho  kanisa hailina uwezo wa kulipa kiwango hicho.

Isa aliendelea kusema kuwa Israel inajaribu kutaifisha mali za kanisa jii Yerusalemu.

Miongoni mwa mali zinalengwa na Israel kutaifishwa na pamoja na mashamba, vituo vya biashara, shule, hospitali  na milki nyingine.

Kwa mujibu wa Isa , Israel kumalizika kodi hiyo ni kuwalamisha wakristo kuondoka Yerusalemu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment