Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, July 19, 2017

Miili ya watu waliotoweka mwaka 1942 yapatikana kwenye barafu Uswisi

.

Kuyeyuka kwa mawe makubwa ya barafu nchini Uswisi kumefichua miili miwili inayoaminika kuwa ya mtu na mkewe waliotoweka miaka 75 iliyopita.

Marcelin na Francine Dumoulin walitoweka wakati walienda kuchunga ng'ombe wao katika milima ya Alps mwaka 1942.

Watu hao walikuwa na watoto saba, Mtoto wao wa mwisho wa kike ambaye sasa ana umri wa 79, anasema habari hizo zimemletea utulivu na anataka kuwafanyia maziko mema.

Polisi wanasema kuwa miili hiyo iligunduliwa wiki iliyopita katika eneo la Tsanfleuron na mfanyakazi kutoka kampuni ya kuteleza kwa barafu ya Glacier 3000.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment