Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, July 26, 2017

Aliyefanya shambulizi kwa msumeno akamatwa na polisi Uswisi

Franz Wrousis hajaeleza kwanini alifanya tukio hilo

Image captionFranz Wrousis hajaeleza kwanini alifanya tukio hilo
Polisi nchini Uswisi wamasema wamemkata mtu ambaye anaaminika kufanya shambulizi la kwa kutumia msumeno siku ya jumatatu.
Shambulizi hilo lilifanywa ndani ya ofisi moja ya umma.
Baada ya tukio hilo, Franz Wrousis mwenye miaka 51 alimakatwa kilomita 60 nje ya mji wa Schaffhausen, shambulizi hilo lilipotokea.
Picha za usalama zikionyesha alivyokuwa akijiandaa na shambulizi hilo
Image captionPicha za usalama zikionyesha alivyokuwa akijiandaa na shambulizi hilo
Wafanyakazi watano kwenye ofisi hiyo inayohusika na masuala ya bima ya afya walijeruhiwa vibaya, huku mmoja hali yake ikisemekana kuwa ni mbaya sana.
Mshukiwa huyo alikuwa akifuatiliwa na polisi kabla ya tukio hilo.
BBC
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment