Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, July 26, 2017

Moto wa nyika walazimu maelfu kuhamishwa Ufaransa

A firefighter battles a fire in Artigues, south-eastern France. Photo: 25 July 2017

Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionKaribu ekari 4,000 za ardhi zimeteketea katika pwani ya Mediterranean.
Moto wa nyika nchini Ufaransa umelazimu karibu watu 10,000 kuhamishwa usiku ya kuamkia leo kwa mujbu wa maafisa.
Wazima moto wametumwa kupambana na moto huo karibu na maeneo la Bormes-les-Mimoses.
Mapema Ufaransa iliiomba majirani wake wa EU msaada zaidi kupambana na moto huo.
Karibu ekari 4,000 za ardhi zimeteketea katika pwani ya Mediterranean.
Katika eneo la Corsica mamia ya nyumba zimehamwa.Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Image captionKatika eneo la Corsica mamia ya nyumba zimehamwa.
Katika eneo la Corsica mamia ya nyumba zimehamwa.
Kwa ujumla wazima moto 400 na wanajeshi wanaotumia maji wanajaribu kuuzima moto huo tangu Jumatatu.
Takriban wazima moto 12 wamejeruhiwa na polisi 15 kuathiriwa na moshi kutoka kwa moto huo.
mapHaki miliki ya pichaBBB
Image captionmap

BBC

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment