Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, June 29, 2017

Helikopta iliyotumika kushambulia mahakama yapatikana Venezuela

Jengo la mahakama lililoshambuliwa

Image captionJengo la mahakama lililoshambuliwa
Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimepata helikopta iliyotumiwa na afisa muasi wa polisi kupaa juu ya majumba ya serikali mjini Caracas huku ikikiangusha guruneti na kupiga risasi siku ya Jumanne.
Ilikutwa kajika jimbo Vagas pwani kaskazini
Image captionIlikutwa kajika jimbo Vagas pwani kaskazini
Makamu wa rais wa Venezuela, Tareck El Aissami, amesema helikopta hiyo ilipatikana karibu na karibu na jimbo la Vagas pwani kaskazini, kilo mita arubaini na tano kutoka mji mkuu wa Caracas.
Rais Maduro amekuwa akipata upinzani mkali hivi karibuni na shambulio hilo linatajwa kuwa ni njia ya kumpinga
Image captionRais Maduro amekuwa akipata upinzani mkali hivi karibuni na shambulio hilo linatajwa kuwa ni njia ya kumpinga
Aliatoa picha zinzo inayoonyesha helikopta hiyo katika maeneo ya milima ikisafisha maeneo yaliyozungukwa na migomba ya ndizi.
Kufikia sasa hakuna dalili yakupatika na kwa rubani Oscar Lopez, afisa huyo wa polisi huku serikali ikitaja kisa hicho kuwa kitendo cha ugaidi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment