Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, June 29, 2017

ASKOFU MPYA WA KKKT DAYOSISI YA IRINGA AWEKWA WAKFU



















ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville amewekwa wakfu na kuingizwa kazini leo huku akimtaka Rais Dk John Magufuli kuumalizia mchakato wa kuandikwa kwa Katiba Mpya.

Ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Gaville iliratibiwa na Askofu Mstaafu, Dk Owdenburg Mdegella na Askofu Mkuu wa KKKT Dk Fredrick Shoo alimsimika askofu huyo na kumuingiza rasmi kazini.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment