Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, April 22, 2017

NICEF: Zaidi ya watoto 150 wapoteza maisha Mediterranean mwaka huu


Zaidi ya watoto 150 wamepoteza maisha wakivuka bahari ya Mediterenia kutoka Afrika ya Kaskazini kuingia Italia mwaka huu. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

Hata hivyo shirika hilo linasema idadi kamili ya watoto walioathirika inaweza kuwa zaidi.

Tangu mwanzo wa mwaka huu karibu wakimbizi na wahamiaji 37 elfu ambapo asilimia 13 kati yao, wakiwa ni watoto, wamewasili Italia kupitia bahari ya Mediterranean, ikiwa ni ongezeko la asilimia 42 ikilinganishwa na wakati kama huu mwaka jana.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment