Writen by
sadataley
12:45 PM
-
0
Comments
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe
(katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani
kwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita katika ibada ya Ijumaa Kuu
iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam jana jioni.
Igizo likiendelea.
Askofu mstaafu Dk. Alex Malasusa akisalimiana na waumini wa Kanisa hilo baada ya ibada ya Ijumaa Kuu.
Muonekano wa waumini wakati wa ibada hiyo.
Kwaya Kuu ya Ushairika huo ikitoa burudani ya nyimbo za kifo chake Yesu Kristo wakati wa kuhitimisha ibada hiyo.
Waumini wa kanisa hilo wakiwa nje kwa kuhitimisha ibada hiyo.
Waumini wakitakiana kheri ya Ijumaa Kuu baada ya ibada hiyo.
No comments
Post a Comment