Writen by
sadataley
1:11 PM
-
0
Comments
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba akisalimia na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania,
Bi Virginia Blaser aliyefika ofisini kwa Waziri huyo kwa lengo la
kujadiliana namna wanayoweza kusaidia Mashirika na vikundi vya kijamii
katika masuala ya usalama wa raia na haki zao.
Kaimu Balozi wa Marekani nchini
Tanzania, Bi Virginia Blaser akisaini kitabu cha wageni alipofika ofisi
za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi alipomtembelea waziri wa wizara hiyo
(anayesoma kadi) kwaajili ya kujadiliana namna wanayoweza kusaidia
Mashirika na vikundi vya kijamii katika masuala ya usalama wa raia na
haki zao. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani nchini,
Jamal Jafari.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati alipokua akiongea na Kaimu
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bi Virginia Blaser aliyefika ofisini
kwa Waziri huyo kwa lengo la kujadiliana namna wanayoweza kusaidia
Mashirika na vikundi vya kijaa katika masuala ya usalama wa raia na haki
zao. Kaimu Balozi huyo aliambatana na Jamal Jafari ambaye ni
aliambatana na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani nchini
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba akimsikiliza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania,
Bi Virginia Blaser aliyefika ofisini kwa Waziri huyo kwa lengo la
kujadiliana namna wanayoweza kusaidia Mashirika na vikundi vya kijaa
katika masuala ya usalama wa raia na haki zao. Kaimu Balozi huyo
aliambatana na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani nchini, Jamal Jafari.
No comments
Post a Comment