Writen by
sadataley
1:08 PM
-
0
Comments
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) (katikati) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO
kinachotangazwa na TBC One kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi
katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wengine katika picha ni
waongozaji wa kipindi hicho, kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi.
Angellah Mang’enya wa TBC.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) (katikati) akitoa msisitizo mapema leo katika kipindi cha JAMBO
kinachotangazwa na TBC One kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi
ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wengine ni
waongozaji wa kipindi hicho kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi.
Angellah Mang’enya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) (kulia) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO
kinachotangazwa na TBC one-Taifa kuhusu nafasi ya mwanamke kwenye
uongozi ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Anuai za
Jamii, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (katikati) Bi.
Anne Mazalla akifafanua jambo mapema leo kuhusiana na masuala mbalimbali
ya Anuai za Jamii katika Utumishi wa Umma na Siku ya Wanawake Duniani
wakati wa Kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC one. Wengine ni
waongozaji wa kipindi hicho kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi.
Angellah Mang’enya.
No comments
Post a Comment