Writen by
sadataley
12:40 PM
-
0
Comments
Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Kilimo (SUA), Prof. Deogratias Lutatora (Kushoto) na Mkuu wa Chuo cha
Kilimo, Prof. Susan Nchimbi-Msolla (Wapili Kushoto) wakimuongoza Waziri
Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Mwenye tai nyekundu) kufungua
Kongamano la Wadau la SUA. Kushoto kwa Mhe. Pinda ni Mkuu wa Mkoa wa
Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda
(Kulia) akiagana na Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki hiyo, Bw.
Saidi Mkabakuli (Kushoto) mara baada ya kutembelea Banda la TADB.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Katikati) akizungumza wakati alipotembelea Banda TADB.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda
(Kulia) akisalimiana na wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania waliokuwa wakitoa huduma wakati wa Kongamano la Wadau la SUA
linaloendelea Mkoani Morogoro. Kushoto ni Afisa Maendeleo ya Biashara
Mwandamizi, Bw. George Nyamrunda na Afisa Mipango na Sera Mkuu wa Benki
hiyo, Bw. Mzee Kilele (Wapili kushoto).
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda
(Kulia) akikaribishwa kutembelea Banda la TADB na Afisa Mahusiano na
Masoko Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Saidi Mkabakuli (Kushoto).
Wadau waliojitokeza kutembelea Banda la
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakipitia majarida na
vipeperushi vilivyokuwa vikitolewa na wafanyakazi wa Benki hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda
(Katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
Kongamano la Wadau la SUA mara baada ya kufungua Kongamano hilo. Wengine
waliokaa ni Kushoto kwa Mhe. Pinda ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.
Kebwe Stephen Kebwe. Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo
(SUA), Prof. Deogratias Lutatora (Kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro
Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (Kulia).
Chanzo: Mjengwa blog
No comments
Post a Comment