Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, February 27, 2017

PAPA FRANCIS KUTEMBELEA SUDANI KUSINI

Italy                                     Papa Francis                
Papa Francis amesema kuwa anatarajia kufanya ziara Sudani ya Kusini pamoja na askofu mkuu wa Canterbury, Justin Welby.
Papa ameeleza kuwa ziara yake itakua ya siku moja tu kutokana na kuwepo kwa usalama mdogo.


Papa aliongeza kuwa Maaskofu wa Sudan Kusini wamekua wakimtaka afanye ziara nchini humo ili ashuhudie athari ya njaa na vita kwa watu wa sudani kusini.

Aliyasema hayo alipotembelea kanisa la waanglikana jijini Rome Italia.
Chanzo BBC
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment