Writen by
sadataley
1:11 PM
-
0
Comments
Mrithi wa Samsung ahstakiwa mahakamni kwa tuhuma za kutoa hongo ili kupata usaidizi serikalini
Mrithi wa kampuni
tajiri zaidi nchini Korea Kusini, Samsung, atafikishwa mahakamani kwa
madai ya kutoa hongo na ubadhirifu wa pesa, katika sakata kubwa
inayoendelea kutokota, ambayo pia imesababisha kutimuliwa kwa rais, Park
Guen-hye.
Mwendesha mashtaka maalum amesema kwamba, Lee Jay-yong, pamoja na wakuu wengine wanne wa Samsung watashtakiwa.Chanzo:BBC Swahili
No comments
Post a Comment