Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, October 25, 2014

FRELIMO chashinda duru ya kwanza

   
Mgombea wa chama cha FRELIMO
Matokeo ya kwanza kutoka kwa uchaguzi mkuu nchini Msumbiji umempa mgombea wa chama tawala cha FRELIMO ushindi wa duru ya kwanza.
Filipe Nyusi amepata asilimia 57 ya kura hizo huku mshindani wake wa chama cha RENAMO Alfonso Dhlakama akipata asilimia 36.
Renamo ambacho kinadai kulifanyika wizi wa kura kilishinda viti vingi vya ubunge kuliko awali.
Matokeo hayo yataidhinishwa na mahakama ya kikatiba kabla ya kutolewa rasmi.
Renamo na Frelimo walipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe vya muda mrefu vilivyomalizika mwama 1992.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment