Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Sunday, July 6, 2014

Uholanzi kukutana na Argentina

Wachezaji wa Uholanzi Arjen Robben na Dirk Kuyt
Uholanzi imeishinda Costa Rica katika mikwaju ya penalti ili kuungana na Argentina,waandalizi wa michuano hiyo Brazil na Ujerumani katika michuano ya semi fainali ya kombe la dunia.
Na katika hatua ya kushangaza Uholanzi ilimtoa mlinda lango wake na kumbadilisha na Tim Kruz ambaye aliokoa mikwaju miwili ya penalti na hivyobasi kuisaidia timu yake kufuzu kwa mechi za nusu fainali.
Hakuna timu ilioweza kuona lango la mwengine katika dakika120.
Uholanzi sasa watakutana na Argentina siku ya jumatano huku Brazil ikichuana na Ujerumani katika nusu fainali nyengine siku ya jumaane.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment