Writen by
sadataley
5:19 PM
-
0
Comments
Sunday, July 6, 2014
MUNGU SIKU ZOTE YUPO NA WAMTUMAINIAO. NI KWELI KUNA WAKATI TUNAKATA TAMAA LAKINI MANENO YAKE YANASEMA ATAKAYE VUMILIA MPAKA MWISHO NDIYE ATAKAYE OKOKA. NA HAISHII HAPO ANASEMA NIITE NAMI NITAKUITIKIA. LAKINI NITAPENDA SIKU NIKIFA SOMO LA MAHUBIRI LIWE JOSHUA 24:15C CHAGUENI HIVI LEO NITAKAYE MTUMIKIA. NINAANDIKA UJUMBE HUU BAADA YA KUWEPO KATIKA MAPITO MENGI SANA. NINAJUA VITA BADO IPO NA NI KUBWA SANA. NINAKUMBUKA SIKU YA KUBARIKIWA KWANGU ULIIMBWA WIMBO NAMBA 312 "NAKUAPIA YESU KUKUTUMIKIA NAOGOPA SANA .PIA MAHUIRI YALE YALIINGIA SANA KATIKA NAFSI YANGU. KUUFUATA MSALABA WA YESU NI KAZI SANA LAKINI YESU ANASEMA MTU AKITAKA KUNIFUATA KILA SIKU AJITWISHE MSALABA ANIFUATE. KUMFUTA YESU NI KAZI LUKA 14:26-27
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment