Writen by
sadataley
6:29 PM
-
0
Comments
Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite
kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro, Mahmoud Karia (kulia)
akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa
vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa
gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana
alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero
za wananchi mkoani Manyara, mapema wiki hii. Wapili kushoto ni Mbunge wa
Simnanjiro, Christopher Ole Sendeka na anayerekebisha miwani ni Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye. (Picha na Bashir Nkoromo- CCM Blog)
No comments
Post a Comment