Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, June 11, 2014

JULAI 13, SIKU YA KUABUDU NA MISE ANAEL KWA SAXOPHONE JIJINI ARUSHA


Hakika kila chombo kina namna ya kutumiwa na utukufu ukamrudia Mungu, apendaye sifa na shukurani na kuabudiwa. Na kwa wakazi wa Arusha, fursa ipo kushuhudia mtaalamu wa kupuliza 'saxophone', Mise Anael - kwenye ibada ya kuabudu mwezi wa saba tarehe 13, kwenye kanisa la Zion City kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi na mbili jioni.
Kwa waliobahatika kuwepo kwenye tamasha la pasaka jijini Dar es Salaamm, waliona namna ambavyo Mwama Wenye Imara ikipulizwa kwa umakini wa hali ya juu, na kwa hapa Arusha Mise atasindikizwa na waimbaji kadhaa wakiwepo Voices of Triumph, Arusha Mass Chor, na wengineo wengi.
Tuendelee kuomba uzima na kujipanga kwa ajili ya mwezi huo wa saba.
Kwa kusikiliza ingia hapahttps://www.youtube.com/watch?v=c-R3apKLdpw&list=UUY6SUcgCply1ENduFTxCVLA
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment