Writen by
sadataley
10:36 PM
-
0
Comments
WAWEKEZAJI WA KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni mwa wawekezaji 25 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr. Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya Tanzania PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- JKN AIRPORT
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiongozana na kiongozi wa wawekezaji hao Bw. Malin kushoto ni Bw Hassan mmoja wa waratibu wa ujio wa wawekezaji hao.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia.
Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
No comments
Post a Comment