Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, August 10, 2013

WASAFIRISHAO WAKIMBIZI KIMAGENDO WABANWA

Polisi wa Uspania wanasema kwamba wamelikamata gengi linalosafirisha wahamiaji kimagendo.
Ushahidi uliopatikana na polisi wa Uspania dhidi ya wahalifu wanaosafirisha wahamiaji kimagendo
Watu 75 wametiwa mbaroni Uspania na Ufaransa.
Msemaji alieleza kuwa gengi hilo likiwasafirisha raia wa Uchina na kuwaingiza kimagendo katika nchi za Ulaya na Marekani, na kila mkimbizi akilipa kama Euro 50,000 kwa safari hiyo.
Polisi wanasema viongozi wa gengi hilo Ulaya waliokuwa na makao yao mjini Barcelona, ni kati ya wale waliokamatwa.
Polisi piya wamekuta paspoti zaidi ya 80 za nchi kama Japan, Hong Kong na Singapore.
Imewekwa na Happy Adam
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment