Writen by
sadataley
7:48 PM
-
0
Comments
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara/Wawekezaji kutoka Japan waliofika ofisini kwake jijini Dar es salaam jana wakizungumzia juu ya uwekezaji hapa nchini hususa ni katika nishati.wawekezaji hao walifika pamoja na Waziri wao mkuu Mhe.Toshimitsu Motegi.
Waziri wa uchumi , biashara na viwanda kutoka Mhe.Toshimitsu Mtegi akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa waziri wa nishati na madini Nchini Tanzania Mhe.Sospeter Muhongo mara tu baada ya kutembelewa na wawekezaji hao.
Waziri wa nishati na madini mhe.Sospeter Muhongo akiagana na Waziri wa uchumi na biashara kutoka Japan Mhe.Toshimitsu Mtegi ambaye alimtembelea ofisini kwake akiwa na lengo la uwekezaji hususa ni katika nishati.
Kupata mengi zaidi yaliyijili tembelea http://issamichuzi.blogspot.com/
No comments
Post a Comment