Writen by
sadataley
8:01 PM
-
0
Comments
Hayo yamesemwa na Papa Francis katika ujumbe wa amani alioutoa, mada kuu ikiwa ni ''Udugu ndio msingi na njia ya amani''.
Papa Francis alipokuwa akimsalimia mtoto mdogo kwa kumbusu
Akitangaa kaulimbiu ambayo imepangwa katika sherehe ya siku ya mwaka mpya wa 2014,watu wa vatikani waliweza kusema kwamba ''ujumbe wa Papa Francis ulikuwa ni wa msisitizo'' na hoja kuu ilikuwa ni kuhusiana na kupambana na jamii iliyojitenga na kufanya kuiunganisha na kuwa kitu kimoja na jamii nyingine (kuziunganisha)
Kama watoto wa baba mmoja ndivyo ambavyo binadamu wanahusishwa na jamii moja na nyingine katika udugu, na juhudi ambayo imeweza kuzaliwa kutoka katika udugu na hivyo kufanya kutokomeza umasikini, migogoro, kutokuwa na haki sawa, uhalifu, na matatizo mengine yanayoukabili ulimwengu wa leo.
kwahabari zaidi tembelea;http://www.catholicherald.co.uk/news/2013/08/02/pope-francis-chooses-fraternity-as-the-theme-for-world-peace-day/
Imewekwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment