Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, August 24, 2013

Mizinga yapiga tena makaazi mjini Goma

Watu kama watatu wameuwawa katika mapigano yaliyozuka tena mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.
Jeshi la serikali ya DRC kwenye kambi yao Goma
Taarifa kutoka Goma zinaeleza kuwa walikufa kutokana na mizinga ambayo ilipiga eneo la makaazi.
Ijumaa kikosi cha Umoja wa Mataifa kilianza mashambulio dhidi ya wapiganaji wa M23 rebels.
Kikosi kipya cha Umoja wa Mataifa kinaanza kazi ya kupambana na wapiganaji.
Rwanda imekanusha kuwa inawasaidia wapiganaji wa M23.
Imewekwa na Happy Adam
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment