Writen by
sadataley
5:01 PM
-
0
Comments
SEMINA HIYO IMEENDESHWA NA MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE
NA IMEJUMUISHA SHARIKA ZA KANISA KUU(IRINGA MJINI), KIHESA, MKIMBIZI, MLANDEGE,IPOGOLO, MTWIVILA , MKWAWA, KIGAMBONI NA NYAMHANGA.
NA IMEJUMUISHA SHARIKA ZA KANISA KUU(IRINGA MJINI), KIHESA, MKIMBIZI, MLANDEGE,IPOGOLO, MTWIVILA , MKWAWA, KIGAMBONI NA NYAMHANGA.
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILENI
MCHUNGAJI ABROZ MWAKIKOTI MCHUNGAJI WA USHARIKA WA MKIMBIZI AKITOA UFAFANUZI JUU YA NAMNA YA KUICHA SIKU YA JUMAPILI
MCHUNGAJI WINSTONE MDEGELLA MCHUNGAJI WA USHARIKA WA MTWIVILA AKICHANGIA MADA
MCHUNGAJI YEKONIA KOKO KATIBU WA IDARA YA VIJANA DAYOSISI AKIELEZEA NAMNA YA KUBORESHA ELIMU YA KIKRISTO KATIKA SHULE
WAJUMBE TOKA USHARIKA WA KANISA KUU(IRINGA MJINI)
WAJUMBE TOKA USHARIKA WA MKWAWA
WAJUMBE TOKA USHARIKA WA KIGAMBONI
WAJUMBE TOKA USHARIKA WA IPOGOLO
WAJUMBE TOKA USHARIKA WA NYAMHANGAWAJUMBE TOKA USHARIKA WA MTWIVILA
WAJUMBE TOKA USHARIKA WA MKIMBIZI
No comments
Post a Comment