Writen by
sadataley
11:11 AM
-
0
Comments
Zifuatazo ni baadhi ya picha za siku ya tukio la vijana kukutana pamoja kwenye semina ya Oparesheni Takasika ambapo mwangalizi mkuu wa huduma ya ushauri na maombezi (BCIC), askofu Sylvester Gamanywa ameendesha masomo kwa maelfu ya vijana kuhusu mambo mengi ikiwemo utandawazi na kisha kuongoza sala ya toba na ujazo wa Roho Mtakatifu ili awaongoze kwenye shughuli zote za maisha yao.
Habari na picha na Gospel Kitaa
No comments
Post a Comment