Writen by
sadataley
8:43 PM
-
0
Comments
HII NDIO NDIZI AINA YA JAMAICA INAYOLIMWA MTWIVILA IRINGA
Wakulima wa Manispaa ya Iringa wakionyesha mkungu mkubwa wa ndizi aina ya Jamaica inayolimwa na mmoja kati ya wajasiliamali eneo la Mtwivila katika Manispaa ya Iringa ,ndizi hii ilivunwa kwa ajili ya maonyesho ya siku ya serikali za mitaa katika manispaa ya Iringa
No comments
Post a Comment