Writen by
sadataley
5:56 PM
-
0
Comments
LAAMINIKA KUWA NI KUBWA ZAIDI DUNIANI KWANI NI MARA TATU YA LILE LILILOPO NCHINI MAREKANI LIJULIKANALO KAMA PENTAGON
Jengo hili pichani limefunguliwa hivi karibuni huko China eneo la Chengdu ambalo linaaminika ndiyo kubwa zaidi Duniani na hivyo kuvunja rekodi ya lile la Pentagon lilipo nchini Marekani.
No comments
Post a Comment