Writen by
sadataley
10:05 PM
-
0
Comments
NI SIKU MOJA TU BAADA YA RAIS WA MAREKANI KUONDOKA NCHINI
'
Barozi wa China nchini Tanzania Barozi Lu Youging akitia saina katika hati ya makabidhiano ya uwanja huku Waziri wa Habari,Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akishuhudia

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga akitia saini katika hati ya makabidhiano

Hapa wakibadilisha hati makabidhiano

Naama sasa ni ishara ya ufungu wa uwanja ni Barozi wa China nchini Barozi Lu Youging na Waziri wa Habari,Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
Picha kwa hisani ya Issa Michuzi blog
No comments
Post a Comment