Watu 38 wamefariki na wengine 35 kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka bain aya jamii ya wakulima na wafugaji Sudan-Kusini
Watu 38 wamefariki na wangine 35 kujeruhiwa katika ghasia ziliztokea bain aya jamii ya wafugaji na jamii ya wakulima katika eneo la Gorial nchini Sudan-Kusini.
Msemaji wa meya wa eneo hilo Agoth Mel amesema kuwa jamii ya wafugaji na jamii ya wakulima zilipambana katika ghasia na kusababisha maafa ya watu 38 na wengine 35 kujeruhiwa.
Taarifa nyingine inaarifu kuwa ghasia hizo zilizuka ikiwa jamii hizo mbili zilikuwa zikitaraji kulipiza kisasi.
Sudan-Kusini imekumbwa na ukosefu wa amani kutokana na kuzagaa kwa silaha mikononi mwa raia.
No comments
Post a Comment