Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Thursday, June 8, 2017

Mauritania yasitisha ushirikiano wa kidiplomasia na Qatar

Mauritania yajiunga na mataifa ya Ghuba kwa kutangaza kusitisha ushirikiano wake wa kidiplomasia ya Qatar.

Mauritania imekuwa nchi ya 8 miongoni mwa mataifa yaliotangaza kusitisha ushirikiano wake na  Qatar.

Taarifa ya Mauritania kusitisha ushirikiano wak e na Qatar ilitolewa kupitia kituo cha habari cha AMI.

Wizara ya mambo ya nje ya Mauritania imefahamisha katika tangazo lake kuwa serikali imechukua hatua hiyo ngumu  kwa ajili ya kulinda maslahi ya kiarabu.

Saudia Arabia , Misri, Bahrein, UEA, Yemen, Libya na Maldives zilitangaza siku mbili zilizopita kusitisha ushirikiano wa kidiplomasia na Qatar.

Mauritania imejiunga na mataifa hayo kwa kutangaza pia kusitisha ushirikiano wake na Qatar.

Usafiri wa aina yeyote kutoka katika matifa hayo kuelekea Qatar umesitishwa.

Raia wa Qatar wamepewa siku 14 kuondaka  Saudia Arabia.

Ikawa ushirikiano baina ya Qatar na Jordan ukiyumba, kituo cha habarşii cha al-Jazira  kimefungwa nchini humo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment