Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Saturday, June 10, 2017

Basi la abiria laungua moto

 Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara, gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza.Chanzo cha Moto huo bado hakijafahamika,taarifa za awali kutoka kwa baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo pamoja na abiria wameeleza kuwa baadhi ya mali za abiria zimeketea kwa moto,hakuna mtu aliyepoteza maisha.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment