Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Thursday, November 3, 2016

WANANCHI IRINGA MJINI WAHOJI MWEKEZAJI BUSTANI YA MANISPAA KUUZA POMBE.

Image result for Dc Iringa
Dc Iringa


Baadhi  ya  wananchi  wa Manispaa ya  Iringa  wameitaka  serikali ya  wilaya  ya Iringa  kuchunguza mkataba  wa  mwekezaji wa Bustani ya Manispaa ya  Iringa ambae  amekuwa akiuza  pombe kali katika eneo  hilo kinyume na mkabata wake.

wakizungumza na mtandao  huu wa matukiodaimaBlog  wananchi hao  wametaka kujua uhalali wa Manispaa ya  Iringa  kuruhusu mwekezaji  huyo  kufanya biashara ya pombe katika  eneo hilo ambalo  kimsingi si  sahihi .

Jitihada za  kumtafuta mwekezaji na uongozi wa Manispaa ya  Iringa  zinaendelea
Habari hii ni kwa hisani ya Matukio daima
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment