Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, June 20, 2015

Misa ya waliouawa yafanyika Charleston

Maelfu ya watu wamehudhuria misa katika mji wa Charleston jimbo la South Carolina nchini Marekani kuwakumbuka waamerika tisa weusi ambao waliuawa kwa kupigwa risasii na jamaa mmoja mzungu walipokuwa kwenye mafunzo kanisani. Wakishikana mikono waombolezaji waliimba nyimbo za kujifariji. Viongozi wa wakirsto na wayahudia wametaka kuwepo amani Mapema mshukiwa Dylann Roof alifikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka tisa ya mauaji Mmoja wa marafiki zake Christon Scriven aliiambia bbc kuwa, Roof alikuwa amesema kuwa angewaua wanafunzi katika chuo kilicho karibu lakini alitulia baada ya kuhojiwa .
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment