Writen by
sadataley
6:57 AM
-
0
Comments

Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye amekua akiwataka raia wake kuzingatia amani na usalama, lakini katika baadhi ya mikoa raia wamekua wakiwaua wenzao kwa imani za kishirikina.
(Photo : Reuters)
Watu saba wameuawa kinyama kwenye kijiji cha Murufiti, wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, nchini Tanzania, baada ya kundi la watu kuwavamia, kuua na kuchoma moto miili yao kwasababu za kishirikina.
No comments
Post a Comment