Writen by
sadataley
10:17 AM
-
0
Comments
![]() |
| Baba mzazi wa marehemu mwenye fulana nyeupe akiwa msibani nyumbani kwake mjini Kigoma. |
![]() |
| New life band wakiimba msibani hapo. |
![]() |
| New life band na sura zenye huzuni za kuondokewa na mpendwa wao. |
![]() |
| Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Patandi mjini Arusha ambako marehemu alikuwa akiabudu akizungumza machache katika msiba huo. |
![]() |
| Upendo Nkone akiimba kwa uchungu wa kuondokewa na kaka yake. |
![]() |
| Kwaya iliyokuwa ikifundishwa na marehemu kwa takribani miaka 10 kabla hajatoka mkoani Kigoma, ikiimba msibani hapo. |
![]() |
| Askofu Kumenya wa kanisa la FPCT akihubiri katika msiba huo. |
![]() |
| Kiongozi wa New life band Fortunatus Mabondo akizungumza na watu waliofika msibani hapo. |
![]() |
| Baadhi ya umati wa watu waliofika msibani siku ya jana. |
![]() |
| Huzuni ikiwa imetawala. |
![]() |
| New life band walishindwa kujizuia kuonyesha hisia zao juu ya kuondokewa na mwenzao. |
![]() |
| Maua yakiwekwa juu ya kaburi la Eglah. |
![]() |
| Hakika Eglah ameacha huzuni kwa wengi. |
![]() | |
| New life band baada ya mazishi wakiwa katika picha ya pamoja©New life band. Habari na Gospel Kitaa |















No comments
Post a Comment