Writen by
sadataley
8:59 AM
-
0
Comments
Mchezaji katika mashindano ya
vijana wenye umri wa miaka 21 wa klabu ya Manchester amelazimika kutoka
nje ya uwanja katika mchezo wa kirafiki kwa madai ya kufanyiwa vitendo
vya ubaguzi wa rangi.
Seko Fofana wa Manchester City Mfaransa mweusi
mwenye umri wa miaka 19 aanadai kufanyiwa vitendo hivyo wakati timu yake
ikicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Crotia, ambapo mmoja wa wachezaji
wa timu hiyo walimbagua kwa misingi ya rangi.Machester City imesema mchezaji huyo kiungo ndiye aliyelengwa na ubaguzi huo na mchezaji wa Croatia.
Hivi karibuni katika michuano ya kombe la Dunia shirikisho la soka ulimwenguni lilianza kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya mashabiki wa timu ya Mexco ambao wanadaiwa kwua walifanya vitendo vya ubaguzi wa rangi.
No comments
Post a Comment