Writen by
sadataley
1:43 PM
-
0
Comments
Baba Askofu Dr.Owdenburg Mdegella akitoa neno la mwisho kama ishara ya kumuaga rasmi Mchungaji Yockert Lumuliko Mhanga huku nyuma yake ni Msaidizi wa Askofu Mchungaji Blastone Gavile akisikiliza kwa makini.
Mchungaji Elisande Mhanga Mume wa marehemu Mchungaji Yocbert Lumuliko Mhanga pichani.
Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Iringa Bw. Nayman Chavalla akitoasalam za mwisho.

Mchungaji Elisande Mhanga amemshika mtoto wake Mercy E. Mhanga pichani
No comments
Post a Comment