Writen by 
                            sadataley
4:13 PM
                            - 
                            
0
                            Comments
                          

FIFA yakatalia mbali rufaa ya Suarez
Shirikisho la soka Duniani FIFA 
limekatalia mbali  ombi la rufaa  la mchezaji wa  Uruguay   Luis Suarez 
dhidi ya marufuku yake ya mizi minne kwa kosa la kumng'ata Mlinzi wa 
Italia .
Katika barua kwa wanahabari FIFA ilisema kuwa 
imekatialia mbali ombi la Shirikisho la Soka la Uruguay la kuitaka 
kupunguza adhabu ya Mshambulizi huyo wa Liverpool .Hata hivyo Suarez anauhuru wa kukata rufaa katika mahakama ya rufaa ya michezo (Court of Arbitration for Sport) iwapo hataridhika na Uamuzi huo.

 
 
 
 
 
 
 
No comments
Post a Comment