Writen by
sadataley
6:08 PM
-
0
Comments
Makasisi wawili kutoka nchini Italy pamoja na
mwanamke mmoja raia wa Canada waliotekwanyara na kundi la Boko Haram
nchini Cameroon wameachiliwa huru.
Idara ya mawasiliano nchini Cameroon imesema
watatu hao wako katika afya nzuri na wameabiri ndege inayoelekea katika
mji mkuu wa Younde.Walipelekwa kazkazini mwa taifa hilo karibu na mpaka na Nigeria.
Majina ya makasisi hao ni Giampaolo Martana na Giantonio Allegri.
No comments
Post a Comment