Writen by
sadataley
6:23 PM
-
0
Comments
Pichani ni Mawaziri wawili wanaoonekana kupewa imani kubwa, kumwagiwa sifa, kuombewa dua njema na kupendwa na Wananchi kwa kiwango cha hali ya juu, kutokana na historia ya utendaji kazi wao inayokubalika ndani na nje ya mipaka ya siasa bila kujali itikadi ya vyama. Mimi ni mmoja wa wananchi hao. Ingekuwa vipi hapo iwe ni picha ya Rais na Makamu wa Rais? e bwana kwalitii! yaani viwango bila shobo... lakini mmh, mizengwe, visa na mikasa ya siasa, dah! mwenyewe nachoka kuwaza, naishia kujihisi mdogo tu.
Chanzo: http://www.wavuti.com

No comments
Post a Comment