Writen by
sadataley
9:27 PM
-
0
Comments
Mwenyekiti wa Kikundi Kimama Group Bw. Joshua Nyalusi
Afisa Nyuki wa Wilaya ya Iringa Bw. Telesphory KahatanoBaadhi ya Washiriki wa Mafunzo
Mhasibu wa Kikundi cha Kimama Group Bw.Clayson Kinyaga akiwakaribisha wageni
Afisa Mazingira wa Manispaa Bw. Hobokela Mwambeso akisalimu washiriki
Bw. Mhavile akiuliza swali juu ya ufugaji wa nyuki
Afisa Nyuki wa Wilaya ya Iringa Bw. Telesphory Kahatano akitoa mafunzo ya ufugaji wa nyuki
Picha ni eneo la Mlima wa Mafifi linalokusudiwa kuhifadhiwa na kikundi cha Kimama Group
Afisa Mazingira wa Manispaa Bw. Hobokela Mwambeso akitoa mafunzo juu ya Sera na Sheria ya mazingira
Haya yamefanyika leo hii katika ukumbi wa Vijana wa K.K.K.T Dayosisi ya Iringa Usharika wa Kihesa ambapo jumla ya washiriki mia moja hamsini (150) wamehudhuria mafunzo ya ufugaji nyuki na utunzaji mazingira.
Mwenyekiti wa Kikundi hicho Bw.Joshua Nyalusi amesema jumla ya miti ipatayo elfu nane (8000) inatarajiwa kugawiwa kwa wananchi na kisha kupandwa. Kikundi hiki kimefanikiwa kupata mradi huu ambao umefadhiliwa na Mfuko wa Misitu Tanzania.
No comments
Post a Comment