Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Tuesday, December 3, 2013


MILIONI 346 ZAPATIKANA HAFLA KUCHANGIA HOSPITALI YA ANGLIKANA KOROGWE

Jumla ya shilingi milioni 346 zimepatikana katika hafla ya uchangiaji ujenzi wa hospitali ya Mtakatifu Raphael inayomilikiwa na kanisa Anglikana,wilayani Korogwe mkoani Tanga. Hafla hiyo iliongozwa na askofu Valentino Mokiwa wa jimbo kuu la Dar es salaam kanisa Anglikana huku mgeni rasmi akiwa mkuu wa mkoa wa Tanga aliyemwakilisha waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Mizengo Pinda aliyeshindwa kufika katika hafla hiyo.

Pamoja nao pia viongozi wengine wa serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo pamoja na wananchi na waumini wa kanisa hilo walihudhuria katika hafla hiyo.

Askofu Valentino Mokiwa akiongoza ibada.
Jukwaa kuu.
Askofu Mokiwa akimkaribisha mwakilishi wa waziri mkuu, mkuu wa mkoa wa Tanga katika hafla hiyo.
Meza kuu wakiwa wamesimama.




Habari na Gospel Kitaa blog
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment